Amekuwa meneja wa klabu ya Sunderland.
Allardyce, ajulikanaye
sana kama Big Sam, ametia saini mkataba wa miaka miwili, ambao utampatia
jukumu la kuandaa na kuongoza timu hiyo hadi mwisho wa Kombe la Dunia
la 2018.
Anamrithi Roy Hodgson, aliyejiuzulu baada ya England
kuondolewa kutoka kwa michuano ya ubingwa Ulaya nchiniUfaransa baada ya
kushindwa na Iceland.
Saturday, 23 July 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment