Wednesday, 20 July 2016
Zari akana kuwa na mtoto mkubwa wa kike
Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz,
ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye
Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni
mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo. ‘’Mimi mbona sina mtoto
mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta
bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na
maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu
anawafahamu hayo mambo mengine siyajui" Alisema Zari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment